Makapuku Forum

6. Romania hii ni nchi ambayo asilimia 86% wana sali katika makanisa ya ki kiristo ya ki Orthodox, wa protestant ni 5.2% na wakatoliki ni 4.7%, asilimia 89% ya watu wa Romania ni wana dini wazuri kabsa, wana sema Romania ni porini sana pia , miaka ya nyuma nchi hiyo iligubikwa na " spirits and monsters, most notably vampires and werewolves," pia ina daiwa wa Romania hapo zamani wakilikuwa ni moja ya watu wachawi zaid barani Ulaya , hivo dini ilikuwa ni ya muhimu sana huko
 
5.Macedonia Nestled between Bulgaria and Albania in southern Europe, the country of Macedonia has a rich history. It was conquered many times in the past by many factions that also brought their own religions. Among these were the Ottoman Turks who brought Islam, the Byzantines who brought Christianity and the Bulgarian tsars who brought the Orthodox faith. Today Orthodox is the most predominant religion. Catholicism, Islam and Judaism also have strong roots and a presence there. Macedonian practicing worshipers are estimated at 92%. Haya hayaaa japo sku walipa ada lakin someni ki dhungu apo
 
Na ni nchi masikini sana
 
4. FIJI Fiji , ni watu wa chche sana wana ijua nchi hii, lakini iko bara ocenia jiran na Austrlia na Newzealand wao wako mbali na dunia sasa imani zilifikaje huko!!? Kuna wa mishenari wa ki methodist walipeleka ukristo huko na watu wengi wa huko na dini zinazo fuatia kwa karibu ni , Assemblies of God, wa Sabato (SDA), na wakatoliki(RC), Asilimia 93 ya watu wa Fiji wana shiriki mambo ya dini kikamilifu
 
Duuuh
 
Sijaelewa maneno magum
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…