Ngoja tufikishe Reply 100k & Views 1M tuwazibe midomo km Ukawa waliposusia BungeHumu ndio kiboko yao...watasubiri sana
Aliyelala usimuamshe na wewe utalala....[emoji4][emoji4]Cc my sweet binamu Szczesny njoo ujionee mwenyewe
Muzee ya Bleach kama MukongoMuuza tikiti
............
Mbwembwe sio ujuzi....wamekuwa km mbuzi
Ronaldo minjino ni mbrazil hivyo usishangae sanaHicho kikosi nicha wapi
Sisi tunamfahamu Ronaldo ni mmoja tu.Tofautisha minjino na CR7
Weka picha
Makongo juuMuzee ya Bleach kama Mukongo
Sawa mwalimu wa Jogi.Brazil haijawahi kuwa ulaya
Najua, kasoro mweziRonaldo minjino ni mbrazil hivyo usishangae sana
Hawa jamaa hawako serious kama hii picha ni ya kweli...mbona wanakuza mambo hivyo!!?
Fungua Fanta Unywe ( FFU )Mbwembwe sio ujuzi....wamekuwa km mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Wanawatisha watu wasiende kwenye ukuta, ukuta uko pale paleFungua Fanta Unywe ( FFU )
Form Four Failures Unity ( FFFU )Hawa jamaa hawako serious kama hii picha ni ya kweli...mbona wanakuza mambo hivyo!!?
Afe Ng'ombe, afe Mmasai ukuta lazima uwepo.Wanawatisha watu wasiende kwenye ukuta, ukuta uko pale pale
Mpaka Jumanne ijayo serikali itanyoosha mikonoAfe Ng'ombe, afe Mmasai ukuta lazima uwepo.
Kaandamane bhanaWanawatisha watu wasiende kwenye ukuta, ukuta uko pale pale
Wana vyeti vya ndugu zaoForm Four Failures Unity ( FFFU )