[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Inashangaza sana, naskia wanaingiza hela nyingi sana sa sijui kwanini wanakua wabahili namna hiyo??Nilidhani ni Trophy ya Gold kumbe ni kioo sasa wanataka wajitazamie hicho kioo au...[emoji4]
Haha bado bana [emoji4]Imoo
Mhhhhhh,mbona imeandika 86000Haha bado bana [emoji4]
Twende kazKwel
Bado kidogoHaha bado bana [emoji4]
Hongeraaaa Briz naona umenishinda target
Thanks man, naona mlikua mnavizia sana [emoji3][emoji3]Hongeraaaa Briz naona umenishinda target
Ulisoma vibaya [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mhhhhhh,mbona imeandika 86000