Makapuku Forum

Number 5, Makalu – mita 8,485 huu uko huko Nepal na kwa miaka mingi hakuwahi mtu hata mmoja kujaribu kupanda, na mwaka 1954 ndio kwa mara ya kwanza kuna watu walijarbu kuupanda lakin waka shndwa, sas mwaka 1955 mimi tukiwa Lionel Terray na Jean Couzy wa ufaransa msafara uliongozwa na Jean Franco. Sasa kama unavo ona mlima umekaa kama una kipiramidi hvi upande mmoja hiko wakaz wa huko hukiabudu kama alama mojawapo ya kiimani kwao
 
Number 4, Lhotse – mita 8,516 huu ulipandwa na binadam kwa mara ya kwanza mwaka 1956 na mswis Ernst Reiss
Sasa huo mlima kuna sehem unapandaaa halaf kina bonde unashuka mita 8000 tena chini kabla ya kuendelea safari sasa kama ndo afya yako ya mafua mafua kama sweetie unafia kwa njia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…