Makapuku Forum

Hivi ni mboga ama ndo kama ugali vile?
Hapana sio kitu kinachojitegemea, mi huwa nachanganya kwenye nyama au samaki ( kama navyoweka karoti, Hoho nk) pia huwa naweka vipande kadhaa kama nikijikaangia mayai (spanish omelet)
Au naweka pia kwenye soup hasa hasa potato soup
 
Kwenye mapishi nako umoo, unanifanya niupende hata kabla sijaula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…