Makapuku Forum

Pole sana, ulipatikana aisee hiyo ni Dar geita au mwanza meatu
 
Duh pole sana, ndo changamoto za usafiri wetu hizo lakin... Umenikumbusha kuna kipindi nlipanda treni ya tazara ile class ya chini ndo ilikua kama hivyo
 
Waapi! hiyo ni Bukoba to Mwanza Buseresere sijui Lunazi kuna vumbi jekundu laana nakumbuka Nilifika nna mafua makali sana ambayo yalinitesa wiki nzima.
Niliwahi kupanda mghamba mwanza to arusha kupitia singida, na tulipanda na wazungu, kipindi hicho barabara vumbi tu, wazungu walishukia kateshi, ilikuwa kero sana, vumbi mabegi kuanguka watu wamejazwa kama vibuyu hatari sana
 
Hahaha wazungu hawawezi kuvumilia shida za namna hiyo nadhani maana hiyo ilitokea pia kwenye basi la Ng'itu ya dar to Mtwara kwenye barabara ya mateso kabla ya kufika Nangurukuru...walikuwa wanasweat hadi huruma Sie wengine tunaona poa tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…