Makapuku Forum

Dah kumbe unaipata na hiyo? Kweli we ni mdau wa hizi ngoma... Masongi ya dizaini hiyo ndo yalinifanyaga mpaka nikaanza kuskiza na miondoko ya mozart
Napenda sana, nikiwa naskiliza nikinogewa najikuta nacheza [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] .
Ukitaka kujua nyimbo za zamani ziko poa, wasanii wengi wa music industry wa sasa wanachukua vionjo flani kutoka kwenye nyimbo za zamani.
 
Dah natamani nkuone ukidance [emoji4][emoji4], zaman kulikua na mafundi wa mziki ati... Mziki wa sa ivi ni dizaini ya 'chewing gum' unaskiza ngoma baada ya mda mfupi unatamani mpya
 
Mi naupenda wimbo wake unaoitwa Suddenly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…