Makapuku Forum

Kwa Messi mpaka mahakama Imethibitishwa, angekuwa ujerumani angeisha wekwa lupango
Kapuku mwenzangu mie sitazami hayo, najali kile kinachonifurahisha, andunje ana kipaji maridhawa, burudani kumtizama.. Hayo mengine atajijua yeye na balaa lake, kila binadam ana kasoro zake.. Unatka kuniambia nisifurahie uwepo wa cr7 kisa kuna tetes ni gay na mengineyo.. Nisimchek kadabla kisa ni mjivun mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…