Ule wimbo sasa nilikuwa nikiupenda siku zote ila sikuwa najua jina la muimbaji wala la wimbo, asante sana
Sasa ntaudownload mpaka audio yake niwe nayo kwenye kicellular changu
Thank you once again my dear binamu

Na sasa ni wakati wa kupitia magazeti yetu ya leo tofauti tofauti kama yalivyotufikia katika meza yetu ya magazeti.
Na yanawajia kwenu kwa hisani ya Fix za Bitoz na ule umiliki wake