Ndo vile huwa nikilenga sikosi atiUnakoseaje sasa kwa mfano???
Hahaaaa maziwa nachanganya na asaliHapana aisee maji ya ray tu hayatoshi, pengine unaogea maziwa [emoji4] [emoji4]
wala usiongee maana wewe una point 6 zetu kibindoni.Ngoja uje Emirates
Kashalianzisha hapaMasihara hayo
Kaka ake Lulu atalianzisha
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
........
Mizengo Kapinda
Dah kama nakuona vile utakua mlainiiiii [emoji4] [emoji4]Hahaaaa maziwa nachanganya na asali
[emoji23] [emoji23]Kwa niaba ya Wenger nasema asante
Ewaah! Hapa umefuzuNyngne[emoji106]
Unamiriki siraha za hatari, inabidi uche porish tukague vibari vyako![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaaa mi mgumu kama gome la mtiDah kama nakuona vile utakua mlainiiiii [emoji4] [emoji4]
Tena mpingoHahahaaaa mi mgumu kama gome la mti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huo huoTena mpingo
Aaah wap! Kwa kujipaka huko asali lazima utakua lainii ka nyama ya ndani ngoja nimuulize braza Th Name aninong'onezeHahahaaaa mi mgumu kama gome la mti
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] sasa beach huyo kudwi ataweza kweli kuvaa [emoji160]Unaendaga nae beach?