Leo katika Historia:
1979 - Carlos Marchena anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Valencia na timu ya taifa ya Spain.
Alichukua ubingwa wa Dunia na Spain mwaka 2010.
Hongera Sana mkuu..Ahsanteni kwa kuifatilia segment hii.
Tukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Ibrahimovic " Ibra kadabra "
Leo katika Historia:
1981 - Titus Bramble anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Wigan na Sunderland.
Leo katika Historia:
1984 - Felipe Melo anazaliwa.
Mchezaji wa kiungo toka nchini Brazil.
Namkubali sana wanchopeLeo katika Historia:
1976 - Paulo Wanchope anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Costa rica. Alicheza hadi ligi kuu ya England.
Leo katika Historia:
1987 - Michael Bradley anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira toka Marekani.
Maarufu sana kwa kuwa na kipara muda wote.
Ni mkmya ila ni moja kati ya mabeki wazembe kuwahi kucheza EPLView attachment 373873View attachment 373874View attachment 373875
Ni mkimya km Martial
Real ?
........
Alitingisha EPL enzi zake.Namkubali sana wanchope
Leo katika Historia:
1964 - Jim Reeves anafariki.
Alikuwa ni mwimbaji mashuhuri wa muziki huko Marekani.
Alifariki kwa ajali ya ndege.
Njema kiongozi, kwema huko?Habari ya siku nyingi mabibi na mabwana.
Leo katika Historia:
2009 - Sir Bobby Robson anafariki.
Alikuwa ni kocha wa Kiingereza aliyefundisha baadhi ya timu kama Porto, Barcelona, Newcastle.
Kweli aiseeNi mkmya ila ni moja kati ya mabeki wazembe kuwahi kucheza EPL
Kwema kabisa mkuu.Njema kiongozi, kwema huko?
Amen mkuu.Kwema kabisa mkuu.
Mungu ni mwema siku zote.
Poa poaAmen mkuu.
Karibu tena!!
Kweli kabisaSUNDAY QUOTE:
"Una maadui ?....kama jibu ni ndio basi ujue umeanza kufanikiwa katika jambo unalofanya"
Winston Churchill
................................
AsanteAhsanteni kwa kuifatilia segment hii.
Tukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Ibrahimovic " Ibra kadabra "
FactSUNDAY QUOTE:
"Una maadui ?....kama jibu ni ndio basi ujue umeanza kufanikiwa katika jambo unalofanya"
Winston Churchill
................................