Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Huwa ananikosha sana huyu mtuu..Leo katika Historia:
1963 - Jim Beglin anazaliwa.
Ni mtangazaji na mchambuzi maarufu sana wa mpira hasa Ligi kuu ya England.
Leo katika Historia:
1904 - J.R.D. Tata anazaliwa.
Ni mfanyabiashara mashuhuri wa Kifaransa aliyeanzisha kampuni ya magari ya Tata.
Leo katika Historia:
1963 - Jim Beglin anazaliwa.
Ni mtangazaji na mchambuzi maarufu sana wa mpira hasa Ligi kuu ya England.
Leo katika Historia:
1963 - Graham Poll anazaliwa.
Ni mwamuzi wa soka wa zamani toka nchini England.
Leo katika Historia:
1981 - Fernando Alonso anazaliwa.
Ni mwendesha magari mashuhuri toka nchini Spain.
Leo katika Historia:Leo katika Historia:
1963 - Jim Beglin anazaliwa.
Ni mtangazaji na mchambuzi maarufu sana wa mpira hasa Ligi kuu ya England.
R.i.p chuchoLeo katika Historia:
2013 - Christian Benitez " Chucho" anafariki Dunia.
Ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ecuador.
togwa au nini?
Sura ya kazi. Wajina wangu.
Leo katika Historia:
1984 - Wilson Palicios anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Tottenham, Wigan na Stoke city.
Anajua sana, hasa akiwa na jamaa yetu Jon Champion.Huwa ananikosha sana huyu mtuu..
Huwa najihis kama nipo uwanjan kabisa yaaniAnajua sana, hasa akiwa na jamaa yetu Jon Champion.
Huyu ni fundi mwingine wa mbio za langalanga kando ya Schumacher.