Amber Heard
View attachment 372582 muigizaji wa ki marekan amekuwa hakosi jwenye makala mbali mbali znazo orodhesha wana wake wazuri. Alianza kujulikana mwaka 2007 kwenye show ya tv ya Hidden Palms. Lakin alijulikana zaid kwenye movie ya Never Back Down na Pineapple Express mnamo mwaka 2008. Pia juz juz ali igiza filam ya 3 Days to Kill, Magic Mike XXL na Danish Girl. Pia ameolewa na muigizaji Johny Depp
Pixie Lott
View attachment 372585huyu naskia ni msanii wa pop huko uingereza asa sjui ana waimbia watu wepi
Deepika Padukone
View attachment 372589nawaletea kama alvo andikwa
She looks beautiful always. She’s cited by her figure, height, smile, and eyes as her distinctive physical features, which always makes her stand out of all the beauty queens of Bollywood and Hollywood too.
Deepika Padukone is busy shooting for Hollywood movie “xXx- The Return Of Xander Cage” in which she plays the lead female role opposite Vin Diesel. She is an active celebrity endorser for several brands and products, including Tissot, Sony Cyber-shot, Nescafe, Vogue eyewear, Maybelline and Pepsi, among others.
Asante sana sanaJimena
View attachment 372597huyu ndo mzuri kuliko woote kwa mwaka 2016, na cha kushangaza ni kwamba si model wala muigizaji ila ni mrembo kuwapita hao woote
Sidhan kama kuna anye bisha
Asante sana kwa 10 bora zenye akili kuliko zote kuwahi kutokea Tanzania, Afrika na duniani kwa ujumlaWakuuu
Nimemaliza
Leo nimeleta za fasta fasta i promise kesho bando itakuepo na tuta enjoy zaid
Szczesny Carrenza
Tchao
Nana Im Jin-Ah
View attachment 372590muigizaji wa movie mbali mbali huko china na pia ameingia kwenye list za 10 wazuri bora duniani toka mwaka 2013
Liza Soberano
View attachment 372592muigizaji wa Philipines mwenye asili ya ki marekani na ameigiza movies kama vile Wansapanataym, Kung Ako’y Iiwan Mo, She’s the One, Must Be… Love, Got to Believe, Forevermore, Just The Way You Are and Everyday I Love You.
Kishikwambi cha ukweli hicho
AsanteeeBlack beauty. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Selena Gomez View attachment 372594mwanamuziki na muigizaji wa kimarekani yaan wana sema ni mzuri wa kila kitu yaan ni perfect combo ya vigezo vyootee vya uzuri
Japo mi namuona kama wa kawaida kabsa
Na iwe rohoni mwakoAmani na iwe kwenu wakuu..
Hahaa.. Nishatenda sana huu ujinga..FIX ZA BITOZ VII:
Nakumbuka enzi hizo nikiwa dogo huku Mabibo Beach tulikuwa na mchezo wa kuchanganya thumni na shilingi mia muda wa usiku ili tukamuibie vitumbua mama K
Sasa bhana za mwizi ni 40 siku zote Mama K butumia Kibatari ila siku hiyo tunaenda kumbe alikuwa na tochi ....sasa msela nikampa sumni zen akaniambia Bitoz leo nakupa na nyongeza sasa wkt najiuliza si nikashtuka navutwa kipensi changu duh kumbe hela aliimulika na tochi
Kilichofuata ni kula mbata hadi home nako dingi akanipa makonzi ya kufa mtu na shule sikwenda week nzima kwa aibu coz niliitwa Bitoz mwizi wa vitumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 372654
Duh nilikoma na kuacha wizi kabisa
..............
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Asante sana kwa 10 bora zenye akili kuliko zote kuwahi kutokea Tanzania, Afrika na duniani kwa ujumla
Umeamkaje mkuuNinawasalimu family, hope mmeamka salama