Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Leo katika Historia:
1868 - Marekani yafanya marekebisho kwenye katiba yake na kuruhusu kuwatambua watu weusi kama Raia wa nchi hiyo.
Safi kabisaPoa,habari za Alhamis
Kumbe walikuwa hawatambuliki kabisa[emoji15] [emoji15]Leo katika Historia:
1868 - Marekani yafanya marekebisho kwenye katiba yake na kuruhusu kuwatambua watu weusi kama Raia wa nchi hiyo.
Dunia nayo ina mwembwe huko Thailand nako ilinyeshaga mvua ya samakiLeo katika Historia:
1957 - Mvua kubwa na nzito huko Isahaya, Magharibi mwa Kyushu nchini Japan yasababisha vifo vya watu 992.
Leo katika Historia:
1914 - Austria- Hungary yatangaza vita dhidi ya Serbia.
Hii ilisababisha kuelekea kwa kuanza kwa vita kuu ya kwanza ya Dunia.
Leo katika Historia:
1915 - Marekani yaanza kuitawala Haiti kwa miaka 20.
Leo katika Historia:
1933 - Mahusiano ya kidiplomasia kati ya USSR na Spain yaanza.
Leo katika Historia:
1957 - Mvua kubwa na nzito huko Isahaya, Magharibi mwa Kyushu nchini Japan yasababisha vifo vya watu 992.