Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,244
Ndio ukweli japo mchungu.......hapo unasema wengi![]()
Ndio ukweli japo mchungu.......hapo unasema wengi![]()
Wenzetu hatua kama zetu walizivuka miaka mia iliyopita
Ila asilimia kubwa wanaokula mkwanja mrefu ni hawa makocha wa kazi za vilabuInategemea na mkataba!!
Nilishatoka kitambo dadake, habari ya wewSalama kabisa,
Umeshatoka church?
Mzee wa hadithi mambo vpIla asilimia kubwa wanaokula mkwanja mrefu ni hawa makocha wa kazi za vilabu
Unaivizia nini!70k inagonga punde tu
Bila mshikamano na umoja. Hawawezi kufika hapa tulipofikia sisi..
Thread zao zitakiwa kama moto wa mabua tu.. zitazimika muda siyo mrefu

Safi brah, leo umeadimika sana pande hzMzee wa hadithi mambo vp
Nakuaminia mbishi mi naona kama haifikiKila la heri. Mi hapa ni mpaka kieleweke
Huwa nakuwa ibadaniSafi brah, leo umeadimika sana pande hz
Ibada na kupumzika ck kama hii ili kurefresh akiliSafi brah, leo umeadimika sana pande hz
yapIla asilimia kubwa wanaokula mkwanja mrefu ni hawa makocha wa kazi za vilabu
Ni kweli kabisaWenzetu hatua kama zetu walizivuka miaka mia iliyopita
Naona umerejea muda muafaka kabisaInategemea na mkataba!!
Mdogo mdogo tuNakuaminia mbishi mi naona kama haifiki
Hii nayo ni kiboko kabisa