SOMA HAPA MAELEZO MUHIMU:
Makapuku ni nani?
TOP 10 makapuku tishio JF
Underground vs Wakongwe wa JF
KAPUKU ni
*Member mjanja
*Member mgeni
*Member asiye na makuu
*Member kauzu
*Member asiye na kidomodomo
*Member mwenye swaga
*Member asiye na matusi
*Member asiye na shobo
KUTOKUAEPO KWENYE LIST HAIKUZUII KUSHIRIKI
...............................................................
Km una kigezo mPM Th Name au Jimena akuadd
...............................................................
One love
Soma post #231
Ni muhimu sana
Lengo kuu la thread hii ni kuleta usawa Jf na kuwafanya makapuku wafurahie uwepo wao na sio kuigawa Jf.....
...........................................................

MATUSI HAYARUHUSIWI
.............................................................
Mtu akikutukana usimREPLY unachotakiwa kufanya ni kuREPORT ili afundishwe kuwa na adabu
............................................................
Makapuku tuwe mfano wa kuigwa
Km wewe una reply/thread/post zako jukwaa fulani no reply, unaletewa dharau kibao & una trophy point kiduchu km maksi za hesabu........toroka uje
Hapa ndio mwake
..............................................................
Tuungane kupinga unyanyasaji wa kimtandao (CYBER BULLYING) kutoka kwa wakongwe
..............................................................
.........................................................
Ukimkuta Kapuku mahali anatukana ujue huyo ni FAKE
........................,..................................
Makapuku Chat Room
+Mapenzi,udaku,urafiki,mapichapicha,mijadala,,elimu,swaga,birthday,ushauri,funny,polifix,jokes,news,michezo, & kila kitu kuhusu maujanja ya life
......................................................
KILA MTU YUPO FREE KUCHAT !!
.......................................................
KAPUKU GUINNESS BOOK
Watu na record zao !!!!
Mussolin 5 ameweka record kwa kutupia post ya
Hongera sana....wengine msubiri kuivunja hiyo rekodi kwa kuvizia post ya 100000 !!!
.................
NO Superstar !!
NO ubaguzi !!
NO shobo !!!
NO Ufagio !!!!
No Kick !!!
Once a Kapuku always a Kapuku !!!
.............................................................
KAPUKU FORUM IS THE BEST JF THREAD EVER
.......................................................
.....................................................
Thread zote za Bitoz zipo hapa
Dongo kwa wazee. !!!
...........................................................
****Makapuku Chat Room*****