Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Ahsante kwa magazeti.View attachment 364099View attachment 364100View attachment 364101
Kwa hisani ya Refa wa Mechi ya nusu fainaly kati ya France na Germany (Lubuva) naomba niwatakie weekend njema
T G I F
Ciao!!
Leo katika Historia:
1984 - Kunafanyika Jaribio la kutaka kumuua Rais wa Iraq, Saddam Hussein lakini jaribio hilo linashindikana.
tushapoaPolen sana timu Germany
AsanteMpaka sina la ziada tukutane kesho hapahapa kwa Udhamini wa nguvu wa Refa wa Ujerumani Vs Ufaransa.
Bye!!
KaribuNimerudi, nilipotea kidogo, nilibanwa na majukumu ya kazi
Asante sanaKaribu
naomba niongezwe kwenye hyo list ya akina pangu pakavu tia mchuziList ya Makapuku inaendelea hapa
jonax
werrason
Linamo
amaizing
SHIMBA YA BUYENZE
Cobblepots
briz
Szczesny
4G LTE
shululu
Horseshoe Arch
Tetramelyz
lukesam
Ibrahim Msuya
Maradonna
Nyagei
Mr Dumila
lothrito
kagwima
phitter
wasumu
Retired Mp
Papushikashi
fred madowo
Karibuni sana
Peace and love
Leo katika Historia:
1994 - Kim Il-Sung. Aliyekuwa Rais wa Korea Kaskazini anafariki Dunia.
Karibu kapuku..naomba niongezwe kwenye hyo list ya akina pangu pakavu tia mchuzi
Leo katika Historia:
2011 - Betty Ford anafariki Dunia.
Alikuwa ni mke wa Rais wa Marekani ndugu Gerald Ford.
Mpaka sina la ziada tukutane kesho hapahapa kwa Udhamini wa nguvu wa Refa wa Ujerumani Vs Ufaransa.
Bye!!
Haya ndezi mla ulezi, mpira dk. 90/120Acheni Undezi
Kombe letu Portugal....Mafalansa hayatuwezi sisi hatuuzi sura tunaondoka na ushindi ht possesion iwe 10%
.........
Kasome post # 3 kwa maelekezonaomba niongezwe kwenye hyo list ya akina pangu pakavu tia mchuzi
Ndo manakeNaona kama maandalizi ya kutiwa kiberiti
Hiyo ni final siyo ligi kuna extra time na penalty piaHaya ndezi mla ulezi, mpira dk. 90/120
Umenena vyemaKasome post # 3 kwa maelekezo
Hatuongezi mtu hadi tuone support au post zako kwenye huu Uzi
Uko FREE kuchat
Karibu
.........
Kuna pipo zinaibuka 1 day tunaziweka kwenye list zen zen zinasepa hazina support wala faida yoyote zaidi ya kutaka tu majina yao yaonekane.......Sasa utaratibu mpya hawekwi mgu hadi tuone support ht list iwe fupi km andunje haina noma ilimradi kuchat wapo FREEUmenena vyema