Number 9, Erik Demaine – 20
alizaliwa Nova Scotia, huko Canada, baba yake alimtoa kwenye shule za serikali akiwa na miaka 7 na akaanza kumfundisha akiwa nyumbani, na kwakua miaka hiyo ndio computer zina ingia kijana alifanikiwa kujua computer vizuri na hiyo tuu ilimfanya kuingia chuo kikuu cha Dalhousi huko Halifax, Nova Scotia, na akafanikiwa kupata digrii yake ya kwanza katika computer akiwa na miaka 14 tuu, na haku ishia hapo kwani aliunganisha hadi PHD ambayo alihitim mwaka 2001 siku chahce tyu kabla ya kutimiza miaka 21
Kwa sasa ni profesa chuo cha technolojia cha Massachusetts huko Marekan