Hehehehe baby sitterHaahaaaaa!
Hapana siwezi kuimalizia nyumbani hata kidogo!
Hii kazi ya Uyaya inaisha saa moja jioni.
Peace & LoveFarijika nazo siku hii ya Eid dadake...one love na peace sanaa
[emoji120] [emoji120] [emoji120] MerciPeace & Love
Sio wa Kilimanjaro ila kutumia fursa nawezaWe wa Kilimanjaro nini???[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ahsante kwa quote za [emoji173]Je wajua imeletwa kwenu kwa hisani ya mwanadada mrembo, mwerevu, hekima, busara, mchapakazi sio mwingine ni IRON L A D Y......JIMENAAAAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haina kungoja......[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoya kwansa
[emoji179] [emoji120]Ahsante kwa quote za [emoji173]
Sasa kumbe vipi[emoji2] [emoji2] [emoji2]Unanusa zaidi ya nzi![emoji106]
Anangoja nini aonyeshe vitendoHaina kungoja......
Ndio kilichobakiAnangoja nini aonyeshe vitendo
Hiyo 20 hatakiwi nzi paleNdio kilichobaki
Thanks honourable.Nakutaka kumuradhi mutu yangu
[emoji111]Post 50 umemwangusha bozz
Amani sana[emoji111]Natumaini mmesherehekea salama mwisho wa mfungo wa ramadhani
Habari yenu wakuu
SawaThanks honourable.