Namkubali sana Jimena, yuko vizuri kwa kweliJimena ni jembe sana, ni aina ya wanawake wachache wenye mvuto na kukubalika sana, ana mbinu kubwa sana za mapambano, ni aina ya ke ambao anaweza kuchezesha vichwa 10 za wanaume na wakatoka kapa.
Haitakaa itokeeeItabidi tusitishe msaada wa like kwa Jimena.
Poa kabisa kaka ake.....Nambie Dadake
Sema anakubalikaNamkubali sana Jimena, yuko vizuri kwa kweli
Niko poa, heri ya sikukuuUko poa lakin!!!
Acheni UndeziItabidi tusitishe msaada wa like kwa Jimena.
Njema sanaNiko poa, heri ya sikukuu
Hilo wazo la kindezi haswaaa[emoji3] [emoji3]Acheni Undezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Haha ni ngumu sana kumnyima likes, Jimena ni kiungo muhimu sana humu anatuconnect wengi... Jimena kama maji hata usipomuoga utamywa tu wallahItabidi tusitishe msaada wa like kwa Jimena.
Pana ukweli hapa, btw hongera Jimena.Jimena ni jembe sana, ni aina ya wanawake wachache wenye mvuto na kukubalika sana, ana mbinu kubwa sana za mapambano, ni aina ya ke ambao anaweza kuchezesha vichwa 10 za wanaume na wakatoka kapa.
Asante sanapongezi ziwafikie.
Asante sanapongezi ziwafikie.
Nilijizungumzia binafsi kwanza sikutaka kusemea mioyo ya watu, ni kweli kabisa anakubalika sanaSema anakubalika
Tofautisha kuongoza likes na kuwa maarufu mfano mm ht nisipokuwepo Top 20 lkn umaarufu wangu upo juu kuwazidi watakaokuwepo kwenye hiyo Top 20Hilo wazo la kindezi haswaaa[emoji3] [emoji3]
Unapenda kuchungulia taarab za watueeh???[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Exactly
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka umenikumbusha mbali hapo kwenye undeziAcheni Undezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Asante sanaJimena ni jembe sana, ni aina ya wanawake wachache wenye mvuto na kukubalika sana, ana mbinu kubwa sana za mapambano, ni aina ya ke ambao anaweza kuchezesha vichwa 10 za wanaume na wakatoka kapa.
Inaelekea wapenda punje wewNipunguzie hiyo mialiko.
Tulikuwa tunaongelea kuwa wa mwisho.Fafanua vizuri jimena, mkia ni msamiati mpana ati!