Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Dah jamaa ashakua babu sasa, lakin bado yuko vizuri kuna movie moja ya mwaka juz nilimuonaLeo katika Historia:
1946 - Sylvester Stallone " Rambo " anazaliwa.
Asante kwa magazeti, leo kufika jioni mbali sana watu wanakua washapiga kitwanga za kutosha tuView attachment 363437View attachment 363438View attachment 363439
Mpaka kufikia hapo sina la zaidi kutoka magazetini,
Nawatakia sikukuu njema, msilewe sana basi
Kumbe huu mzigo ni wa mrusi... Shikamoo mrusiLeo katika Historia:
1947 - Bunduki ya AK 47 yatengenezwa rasmi huko Urusi.
Leo katika Historia:
1946 - George Bush, Rais wa zamani wa Marekani anazaliwa.
Leo katika Historia:
1946 - Sylvester Stallone " Rambo " anazaliwa.
Biafra gan hyo au pale kinondoni??Leo katika Historia:
1967 - Nigeria yaivamia Biafra na kusababisha kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Leo katika Historia:
1921 - Nancy Reegan, Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Ronald Reegan anazaliwa.
Leo katika Historia:
1975 - Siku ya Uhuru wa Comoro.
Walipata Uhuru toka kwa Ufaransa.
Leo katika Historia:
1947 - Bunduki ya AK 47 yatengenezwa rasmi huko Urusi.
Leo katika Historia:
1967 - Nigeria yaivamia Biafra na kusababisha kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Poa historianMpaka nimefika mwisho tukutane tena kesho kwa Udhamini wa Eid Mubarak.
Na we unaenda kuvizia??? [emoji1][emoji1]Poa historian
Baadaye basi...ngoja tutayarishe kanzu
...........