Hahaha wanikumbusha mbaliii, niliwahi fika kwa jirani zao, wanataniaga sana waswidish wale walokuwa wanaruka boda kwenda kupata bia Dk sababu ni rahisi sana, mpakani wanaambiwa watamke neno moja lenye sound hii kwa kiswahili( ghughumoflee) ili kubaini kuwa ni waswid au wa dkNa kina kina Bjön, Bengt Åke, Mjardell kwakweli majina yao ni shiida
Ndio shida eeeHapo kwenye nidhamu.
[emoji22] [emoji22]
Ndio.. maana nikichukua likes za id hii nkachanganya na za Id ingekuwa tayar nko top 10Ndio shida eee
Ha haa wajidai mjanja eeNajua utanionyesha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] panda wew dadake mie
Bila wew ujanja cinaaaHa haa wajidai mjanja ee
Kumbe wajua...Bila wew ujanja cinaaa
Nenda pm plizKumbe wajua...
Napitia njia gani tena?Nenda pm pliz
Yeah kiroho safi!Unataka kutambikia au[emoji23] [emoji23]
Wanorway wao wanaenda kununua bia Sweden wanadai ni bei rahisi, waswid wao wanaenda Denmark kununua bia wakidai ni cheap na wadenish nao kutwa kwenda ujerumani kununua bia kwasababu eti ni bei rahisi....Hahaha wanikumbusha mbaliii, niliwahi fika kwa jirani zao, wanataniaga sana waswidish wale walokuwa wanaruka boda kwenda kupata bia Dk sababu ni rahisi sana, mpakani wanaambiwa watamke neno moja lenye sound hii kwa kiswahili( ghughumoflee) ili kubaini kuwa ni waswid au wa dk
Kweli kabisaWanorway wao wanaenda kununua bia Sweden wanadai ni bei rahisi, waswid wao wanaenda Denmark kununua bia wakidai ni cheap na wadenish nao kutwa kwenda ujerumani kununua bia kwasababu eti ni bei rahisi....
Hawa wote watatu ni watani wa jadi ila wanaishi kwa upendo sana
Morning dadake.Morning all
Magazeti ya leo yanawajia hivi punde tu kwa udhamini wa safari ya serengeti national park