Makapuku Forum

Makapuku family, huu ni ule wakati wa kuangalia matukio ya kipekee, tabia au wasifu wa watu au vitu vyenye sifa za kipekee kwa jina la kipindi vhetu ni (JE WAJUA?)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa ni shida
 
Je wajua?
Leo tutaangazia viongozi wa wakati wote.
Hawa ni aina ya viongozi waliofanikiwa kuleta mabadiliko makubwa katika jamii inayowazunga na dunia pia kwa kuwa na sifa za kipee katika uongozi wao.
(1) Mahatma Gandhi
Huyu alikuwa kiongozi nchini India na aliyeheshimika sana na aliyeandika nukuu 10 zinazotumiwa sana duniani
Nukuu zake
(a)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…