Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Alishakuja hata bongo kwenye cecafa na timu yake
Alishakuja hata bongo kwenye cecafa na timu yake
Leo katika Historia:
1997 - Amado Carrillo Fuentes. Muuza madawa ya kulevya mashuhuri toka Mexico afariki Dunia.
Leo katika Historia:
1997 - Amado Carrillo Fuentes. Muuza madawa ya kulevya mashuhuri toka Mexico afariki Dunia.
Ahsante kwa picha, natambua mchango wako!! Bitoz
Asante sana mkuuKwa leo tuishie hapa, tukutane tena kesho hapahap kwa Udhamini wa penati ya Zaza.
Amen.Asante sana mkuu
Ila ni tamu sanaaaFilamu zake zimejaa uwwongo uliotukuka
Ndioushawahi tazama movie zake?
Ni kweli! Ila sasa umri umemtupa mkonoIla ni tamu sanaaa
Uko vizuri sana.Ndio
Kasemezane na misukuleHaya nmekuja tusemezane sasa..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]![]()
[emoji15][emoji15] [emoji15] zuzu tena......Zuzu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi inaingia lini kwenye Top 20???[emoji15][emoji15] [emoji15] zuzu tena......
Leo sitaki shari ngoja nisepe..[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]![]()
AmeshazeekaNi kweli! Ila sasa umri umemtupa mkono
Mi naangaliga filamu za kutisha au vichekesho tuFilamu zake zimejaa uwwongo uliotukuka
Kama hawa[emoji116]Kasemezane na misukule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Formula One wanaatambo ila Michael Schumacher ndo basi tenaWajerumani wako vizuri kwenye michezo
[emoji4] cjakuelewa best, embu fafanua kidogoHivi inaingia lini kwenye Top 20???
CECAFA sawa na Ndondo Cup tu ht FC Kauzu atapita kwa best loserAlishakuja hata bongo kwenye cecafa na timu yake