Makapuku Forum

MZEMBE; Mambo Rehema?
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
(1) Je wajua?
BORDER COLLIE ni mbwa mwenye akili, utii na anayefundishika kwa urahisi kuliko aina ya mbwa wengine duniani.
Aina ya mbwa hawa walifundishwa kuchunga kondoo mpakani mwa Scotland na England kwenye mpaka wa Hilly. Pia hutumika kulinda/ kuchunga mashamba na ranchi.
Bitoz ongezea mapichapicha
 
hahahah
 
Sasa umemwita mzembe kwa vigezo gani kisa kaonyesha saa au!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…