Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Ahsante kwa magazeti Jimena Lei katika Historia itawajia punde...View attachment 361800View attachment 361801View attachment 361802
Kutoka kwenye magazeti sina la ziada.... Shukrani za dhati ziwafikie makapuku wote kwa kuyasoma magazeti haya..
Na shukrani pia kwa mdhamini wetu ambae ni CR7
Ciao!!!
Njema tu... Habari ya asubuhi??Za asubuhi wakuu...
Sawa WiiMy wii Kuna vitu flan vnaniweka busy but tupo pamoja sanaaaa
Leo katika Historia:
1881 - Simu ya Kwanza ya kimataifa yapigwa toka Canada kwenda Marekani.
Leo katika Historia:
1931 - Shirika la ndege la Marekani ( United Airlines ) laanzishwa.
Leo katika Historia:
1960 - Nchi ya Ghana yawa Jamhuri na Kwame Nkrumah anakuwa Rais wa Kwanza wa Nchi hiyo.