[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Daaah acha tu kanitoa kijasho, aliharibu juzi alipoingia humu alikomba likes zaid ya 200 nami nilikuwa biz nkashindwa kufukuzana naye, nawashukuru wote, sio kwa wema wangu bali kwa upendo na kuchukuliana wakuu.
Jambilo alimwambia umekuja kutafuta like[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nliona bhana
Hivi na yeye ni wa huku ee!!?
Anakujaga kufata [emoji106][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nliona bhana
Hivi na yeye ni wa huku ee!!?
Kwaheri ya kuonanaUingereza kwa heri
Leo full shangwe
Team Iceland tupo tupo sana hadi Semi Final
...........
Walikuwa hawajui kama mpira dk 90