Leo naleta top 10 ya wachungaji matajiri zaod duniani
Yaan the richest pastors in the wolrd
Number 10, Joseph Prince Net Worth 2016 – $5 Million
Huyu bwana ni mtoto wa mchungaji huko singapore na pia yeye ana vipindi vya televishen zaid ya nchi 150 duniani
Pesa zake kwa mwaka kitanzania ni 10963250000.0000 shillings