Daah shem avatar ilinipiga chenga nkajua tumepata mgeniBaba watoto
Hapo sawaa
Joto City girl
Hawa ndo level yetu
..........
Hata mi naonaBingwa wa fix yule
Hayupo serious
...........
KaribuSoga za makapuku zimenoga hasa!
Apo ulitaka kuanza kutema madinii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah shem avatar ilinipiga chenga nkajua tumepata mgeni
SanaaaSoga za makapuku zimenoga hasa!
Baba Mtumish ..Kwemaa?[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Hapana mbona wajua p3 amekaba Shem, ulikuwa mtikisiko wa ndoa but sasa mambo levelApo ulitaka kuanza kutema madinii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahhahahahahah atleast nimecheka leo..Apo ulitaka kuanza kutema madinii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema sana, ratiba itakuwa je leo pale...nakula kwa machoo!!!Baba Mtumish ..Kwemaa?
Na uanze sasa.Hili litakuwa anytime tu
AaahSoga za makapuku zimenoga hasa!
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Umeongeza siku eee, lkn shem anamaanisha cipitwi na sketi!!! Hili lina ukweli manuuu!!Hahhahahahahah atleast nimecheka leo..
Hahahaaa... Wee muongo sana.Did you know..
Hivi unajua kuwa hakuna fisi wa kiume(dume)[emoji249]
Wapo wa kike tu?
Huu uongo hauvumilikiHahahaaa... Wee muongo sana.
[emoji4] goodHata mimi pia