Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jun 22, 2016 #58,621 manuu said: Hiyo mkuu inapatikana Methali 22:6 inasema Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, Hata atakapokuwa mzee.. Click to expand... Salute you uko vizuri sanaa
manuu said: Hiyo mkuu inapatikana Methali 22:6 inasema Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, Hata atakapokuwa mzee.. Click to expand... Salute you uko vizuri sanaa
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,622 Bitoz said: Take It Easy Kaushia Kimsingi thread inasonga mbele wala hairudi nyuma ............. Click to expand... Mbele kwa mbele kama wimbo wa chama flani.
Bitoz said: Take It Easy Kaushia Kimsingi thread inasonga mbele wala hairudi nyuma ............. Click to expand... Mbele kwa mbele kama wimbo wa chama flani.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 22, 2016 #58,625 EMMYGUY said: Mbele kwa mbele kama wimbo wa chama flani. Click to expand... Mwenye wivu ajinyonge .............
EMMYGUY said: Mbele kwa mbele kama wimbo wa chama flani. Click to expand... Mwenye wivu ajinyonge .............
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,626 jonax said: Salute you uko vizuri sanaa Click to expand... Umeona eeeh...?? Nilikwambia.
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,201 Reaction score 28,088 Jun 22, 2016 #58,629 Jimena said: Hujambo?? Click to expand... Sijambo dada mzuri..habari za wewe
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jun 22, 2016 #58,633 EMMYGUY said: Umeona eeeh...?? Nilikwambia. Click to expand... Basi huyu atakuwa ni msaada wangu mkubwa sana hapa..
EMMYGUY said: Umeona eeeh...?? Nilikwambia. Click to expand... Basi huyu atakuwa ni msaada wangu mkubwa sana hapa..
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,634 Hayo ndio niliyofanikiwa kuwakusanyia asubuhi ya leo...... Muwe na siku njema
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Jun 22, 2016 #58,635 Jimena said: View attachment 358823View attachment 358824 Click to expand... Haya ni magazeti ya kufungia maandazi pumbaaavu
Jimena said: View attachment 358823View attachment 358824 Click to expand... Haya ni magazeti ya kufungia maandazi pumbaaavu
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Jun 22, 2016 #58,636 Jimena said: Morning family Click to expand... Mornie lady
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jun 22, 2016 #58,637 Na uona uwepo wa briz tia neno kidogo...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,638 jonax said: Ngoja nianze kusoma Click to expand... jonax anasoma biblia leo?? Kweli manuu ametisha kwa mahubiri
jonax said: Ngoja nianze kusoma Click to expand... jonax anasoma biblia leo?? Kweli manuu ametisha kwa mahubiri
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,201 Reaction score 28,088 Jun 22, 2016 #58,639 "Wolper,harmonize kufunga,ndoa katikati ya bahari" Magazeti ya bongo bhana..
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,640 jonax said: Karibu sana mama Click to expand... Asante, nimeshakaribia