Namimi nimekumiss kwa kweli Valentina kuna list ya majina yalikuja hapa jana ya watu waliopitwa na fagio la TCRA na jina lako lilikuwepo...Ebu niambie umerudije tena hewani kwa kasi namna hii...? teh teh
My Valentine day ya mwaka huu ilikuwa nzuri sana pale nilipo pata fursa ya kuwa na Valentina katika siku hiyo ya Valentina.....Umeona vina vilivyo lala hapo fulu hiphop..