hahaha...Redondo fundi wa mpira sisahau alivyompiga tobo ya kisigino yule beki Hening Berg kisha akaenda kutoa bonge la assist kwa Raul.
Ronaldo Luis De Lima " El Phenomenon " wakati anafanyiwa sub ilibidi uwanja mzima umpigie makofi na mashabiki wote bila kujali mapenzi yao kwa timu zao ilibidi tu wasimame kumpa heshima yake. Nyakati zile hazijirudii tena.