Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Kijana mpenda amaniPamoja sana braza.
Kijana mpenda amaniPamoja sana braza.
Patience kakumiss
Pole na majukumu mpenzi, leo tukapate wapi wapi chakula cha usiku!!!Mie mzima Wii ake kaka hajambo?
Sijui hata kama ni couple hiyo
Achana naye wajua udhaifu wake honeyKuna tatizo
Hata mimiMiss you wii
Shikamooon makapuku wenzangu
Dah yani kukaapemben Massa mawili nliacha page 5449 now 5524.....
Khaaaaa.....
Kule kule kwa janaPole na majukumu mpenzi, leo tukapate wapi wapi chakula cha usiku!!!
Duh nakugawa bureSijui hata kama ni couple hiyo
Hapana kaka nina kifaa bombaa sanaaaJambilo bado unaibiaibia