Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
#TeamSweden
#TeamSweden
Couples OGs hizoLakini najua hawezi kufanikiwa..... Kuna kapo ambazo naziamini sana hapa
amaizing na manuu
lizziebettie na Th Name
Hao najua hawatetereki

Bila kusahau ambulanceTuangalie tu uwezekano wa Dr kuwa karibu na wewe
Sinaga nini???Hanaga
Maana ya hilo neno ni Pruduza/Mtunzi wa nyimbo, movie, nk.Weee butoz WeeeWeee
AsolutelyCouples OGs hizo
![]()
![]()
Shindwa wewe ulegee, mimi niku niku nikuuuu....pepeeeWapi huko? Ushindwe
Mutu ya Kongo rudi kwenu ukaamulie ugomvi
............
Kumbe ni Mkimbizi???!!!Acha tu kwakweliTayarisha juice na Panadol lolote laweza tokea
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Ukakamae kama kiazi cha kuanikaShindwa wewe ulegee, mimi niku niku nikuuuu....pepeee
Google BEATLES utaelewa vizuri zaidiMaana ya hilo neno ni Pruduza/Mtunzi wa nyimbo, movie, nk.
Hunaga ujungaSinaga nini???
Nini tena Papaa?Af Weeewe![]()
![]()
Achaga mazalau mamii, hebu PM numbre yako uonePesa ya kunipeleka huko hauna papaa.
Eti wewe hauna uwezo wa kumuweza shem Lizzy, kisa una ki-ba-mi-...a.Sinaga nini???
