Makapuku Forum

"Hakuna kitu kibaya Kama kumpa lift mzungu. Hata akae kiti cha nyuma itaonekana yeye ndo mmiliki wa gari na ww ni dereva wake. Dawa kumpakia kwenye buti."

[emoji121][emoji121][emoji121]

-Dereva wa Mugabe- [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa[emoji115] pana ukweli kwa mind set za kiafrica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…