Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Ni shida sana kwakweliRafiki zako![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Juu,juu,juu zaidiYanga juu
Mi hao walaaaLeo yaan
Nimejichanganya kushabikia wareno wamekeraaa
Nime kumbuka wimbo wa kina bushokeMi nipo, hivi naenda wapi kwa mfano??
Wamenichafulia siku hawaMi hao walaaa
CR7 atanisamehe tu, akirudi Madrid tutaendelea
Pole sana na epl je?Leo yaan
Nimejichanganya kushabikia wareno wamekeraaa
Epl niko chama kubwaPole sana na epl je?
Sema kijanaLeo yaan
Nimejichanganya kushabikia wareno wamekeraaa
Sio mbaya![]()
FULL TIME
..................
Achana na timu za kibwegeWamenichafulia siku hawa
Pole mie staki stres kabsaaSafi mkuuu
Portugal wamenivuruga hapa