Makapuku Forum

Siku ya kwanza naingia jf nlitoa maoni jukwa la siasa loooh!!!

Kuna jamaa anaitwa mmawia, alinipa kashfa hzo nlichoka mwnyewe
Mi majukwaa yote naingiaga kimyakimya siwi na kiherehere
Nasomaga tu nasepa isipokuwa km Kuna thread zangu mfn Jukwaa la Mitindo au thread yenye interest kwa Makapuku
.........
 
Mi majukwaa yote naingiaga kimyakimya siwi na kiherehere
Nasomaga tu nasepa isipokuwa km Kuna thread zangu mfn Jukwaa la Mitindo au thread yenye interest kwa Makapuku
.........
Kwa hyo Mkuu Szczesny alikula za uso[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mi majukwaa yote naingiaga kimyakimya siwi na kiherehere
Nasomaga tu nasepa isipokuwa km Kuna thread zangu mfn Jukwaa la Mitindo au thread yenye interest kwa Makapuku
.........
Aaaah

Nilijifunza mbona ndo maana napenda hapa tuko fresh jama family
 
Kwa jina langu lilivyo juu nikicomment thread yoyote lazima wasaka kick wataniquote hivyo napita tu kimyakimya
........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ww unapendaga kuwa Be First to Reply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…