Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Na asiyekubali kushindwa si mshindani!!Haikuwa riziki
Na asiyekubali kushindwa si mshindani!!Haikuwa riziki
Ahsante sana mkuu!!Hongera sana kwa 50k
asante tena kwa tena!!Hongera tena na tena
Hongera kwake! Akapambane na askari wanaoomba rushwa na kubambikia watu kesiMwigulu nchemba kahamishiwa mambo ya ndani
Wanandoo wa UCLHao ni wapinzani na hakika hawanipi shida!!
Hahahaha dah kwa umbali huo basi hata zile couple humu zitakua na watoto tayari.. Niadje lakin mkuu, miss you mingimingi41k sidhani, we utakuwa uliuacha kwenye 31k
Fanya mpango wa gahawa aise tufukuze baridiTisha mbayaaa
Yan ulivyopotea tu wakaibuka wadau from no where... wakati bado nashangaa mkuu mussolin5 akatusuaHata mimi nimeikosa. Nilikuwa bize kidogo
Isiwe shida kiongozi, nimesuggest tu.Ili iweje ?
Si link imewekwa post # 3
.....
Nilikuwa bize kidogo ndugu.Yan ulivyopotea tu wakaibuka wadau from no where... wakati bado nashangaa mkuu mussolin5 akatusua
Usiwaze, inabidi uvizie record nyingine kubwa ya 100kNilikuwa bize kidogo ndugu.
Tukifika sijui lini ila pamoja we canUsiwaze, inabidi uvizie record nyingine kubwa ya 100k
Kwani 50k imefika baada ya mda gan? Kadiria mda kama huo tenaTukifika sijui lini ila pamoja we can
Takribani miezi miwiliKwani 50k imefika baada ya mda gan? Kadiria mda kama huo tena
Duh! Sio mbali sana lakin, tutafika tuTakribani miezi miwili
Mdogo mdogo tutafikaDuh! Sio mbali sana lakin, tutafika tu