Makapuku Forum

duh! pale unapochelewa kula daku baada ya alarm kutolia usiku unakurupuka unakiona kijua cha saa moja wallah unaweza ukatafuna mkeka..pale unapotega alarm kwa masaa ya vietnam wakati wewe upo mabibo kudadeki unaweza kulipaka godoro blueband,yamenitokea leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…