Shemdarling usijaliHe heee shemdarling I miss u....unitumie audio ya hako ka wimbo....
Kesho ukumbuke kwenda kanisan...usimsahau manuu
Alafu utuwekee neno hapa....nasie tutabarikiwa....
Goodevenin
Imeenda poa sanaaaZa mimi ni poa mamii. Siku yako imeendaje?
Tutaota tunafukuzwa na mafaraoMuwe na usiku mzuri
Muote ndoto nzuri sio za kufukuzwa
HahaaaaTutaota tunafukuzwa na mafarao
Nafuu tumepumzikaHahaaaa
Afcon kwaheriiiii
mkuu nakuona unabambika na 4% v/v mdo mdo
Namalizia kinywaji changu cha mwendokasi
.........
Tuko njema mkuumafundi wa humu hamjambo wote??
happy tu mkuu vipi hukoo??Good evening family
Tuko njema mkuu
[emoji120] [emoji120] [emoji120]jambo la kheri mkuu...na la kushukuru pia
ulishawah kanyaga tope kwa bahati mbaya unataka kuchomoa mguu mara ndala inabaki???Hahaaaa
Afcon kwaheriiiii
tehe mkuu we mbayaa tena mbaya sana....umematch saa na kinywaji!!!
Wazee wa shida mpo[emoji780]
Drink responsibly
..........
Umetisha bila kinyagotehe mkuu we mbayaa tena mbaya sana....umematch saa na kinywaji!!!
Sawa uwe makiniMpo? Napita tu hapa leo week end wakuu
mkuu una makusudi sana aisee ulijua lazima nicheke na kugara gara kabisa daaahUmetisha bila kinyago
........