Makapuku Forum

Eti uliwahi kuwa na mademu wangapi? Nikajibu sina idadi kamili I need sometime kuweka kumbu kumbu sawa...nikaulizwa tena uliwahi kuwa na dem wa sehemu fulani nikajibu ndiyo...ila nikamwacha! Kwanini....nikajibu akili yake ndogo nimemtoa kwa mkopo acheze ligi za mchangani hadi ajielewe nimrudishe ligi kuu...interrogation ikaendelea weee kama saa mbili nzima! Sijui kwanini kuaply mapenzi siku hizi imekuwa sawa na kuomba kazi!....nawaza tu mwendokasi!
 


sitajali ashatembea na wangapi, kuwa nae maishani naona bahati....


Muda mwingine ni bora kutumia above principal...

Pia mtu anavyoamua kuwa na relation mpya ajue kuna mwingine kaachwaaa
 
Hahahaaa... Pole kaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…