Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,789
Marhabaaa
Msalimie bibi
Anajua tu kichewa...ila poa tu usimwambie mtu!
Marhabaaa
Msalimie bibi
HahaaaaAnajua tu kichewa...ila poa tu usimwambie mtu!
Bila shaka u buheri wa afya mrembo wangu?Hahaaaa
Poa mkuu... Jumamosi njemaa
Salama my wiiHabari ya weekend wakuu????
Team Atletico.Safi, kwako je!!?
Siyo Leo tu siku zote. Madrid asanteni kwa kushiriki.Hahaaa
Leo ndo ulipo angukia hapo
#RoyalMadrid
HahahaSiyo Leo tu siku zote. Madrid asanteni kwa kushiriki.
Siyo mbaya kujifariji Kama hivyo.Hahaha
Leo nakufungeni mapeeema dk 90 tuu finale isha isha

Na timu ynu wazee wa kupaki treniSiyo mbaya kujifariji Kama hivyo.![]()
![]()
![]()
Endelea tu kujifariji siyo mbayaNa timu ynu wazee wa kupaki treni
Nimeku-miss dada..Endelea tu kujifariji siyo mbaya
Mi jumapili situmbukiAah sefue alitumbuliwa jumapilia asubuhi
Lolote laweza tokea kwa magu
Safi, habari yako wifi?Habari ya weekend wakuu????
Team RealTeam Atletico.
Halla MadridHahaaa
Leo ndo ulipo angukia hapo
#RoyalMadrid
Utasubiri sanaaaSiyo Leo tu siku zote. Madrid asanteni kwa kushiriki.

BaelezeeeeHahaha
Leo nakufungeni mapeeema dk 90 tuu finale isha isha