Duh, kitambo sana mdau, binafsi niko bien kabisa, yeah, has been a minute lakini kama bahari, Makapuku ikiwa kimy pande hizi, it rumbles there. Nimefurahi kukuona hapaNatumaini nyote mpo salama wakuu. It's so long
tupoFamilia
miwe mzima kabisa swahiba,uko kimya sana,upo mjini ?Sijambo Swahiba...
Sijui wewe?
Hapana Swahiba...sipo mjinimiwe mzima kabisa swahiba,uko kimya sana,upo mjini ?
pande za wapi? wasalimie nilijua uko mjini ,upate vitu vyako vileHapana Swahiba...sipo mjini
Nipo Mkoa kidogo...Nimekuja kumpumzisha Mpendwa wangu..pande za wapi? wasalimie nilijua uko mjini ,upate vitu vyako vile
mie pia j3 naingia pori huko, ukirudi nitafute uzitwange kutoa uchovu wa safariNipo Mkoa kidogo...Nimekuja kumpumzisha Mpendwa wangu..
Viache pale Kontena
Sawa Swahiba...Shukranimie pia j3 naingia pori huko, ukirudi nitafute uzitwange kutoa uchovu wa safari
pamoja swahibaSawa Swahiba...Shukrani
Hatujambo boss, shikamooWakuu hamjambo
Marahaba kijana🖐Hatujambo boss, shikamoo
Asante habari za siku nyingi??Poleni na shughuli za ujenzi wa taifa