Makapuku Forum

Kanda ya ziwa
Jipange uje Dar, mitaa maalum ya vifaa hivyo ni.
Lumumba/ Mchikichi.
Lumumba/Mahiwa
Lumumba/Narung'ombe
Lumumba/Pemba
Lumumba/Mkunguni
Lumumba/Mafia
Lumumba/Karakoo
Lumumba/Udoe
Lumumba/Amani.
Lumumba/Ungoni.
Kwa kifupi mtaa wa Lumumba ndiyo uliobeba biashara ya mapambo ya magari, ingawa mitaa mingine kuna maduka moja moja wanafanya hivyo
 
Umesahau kumuuliza atakuwa anauza jumla au reja reja? Kama ni jumla awe anaagiza mwenyewe vifaa india, china na japan, atakuwa amewin sana.
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…