Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 6,530 Reaction score 19,051 Feb 3, 2026 #430,481 Shunie asante kwa magazeti usisahau je wajua hiyo baadae kipenzi.
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 6,530 Reaction score 19,051 Feb 3, 2026 #430,482 Habari za jumanne wapambanaji wote Atoto Seran Makiwendo Lee moudgulf Obe makaveli10 min -me
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,202 Reaction score 770,348 Feb 3, 2026 #430,483 Poker said: Habari za jumanne wapambanaji wote Atoto Seran Makiwendo Lee moudgulf Obe makaveli10 min -me Click to expand... Njema mkuu Poker habari za mchana.
Poker said: Habari za jumanne wapambanaji wote Atoto Seran Makiwendo Lee moudgulf Obe makaveli10 min -me Click to expand... Njema mkuu Poker habari za mchana.
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 6,530 Reaction score 19,051 Feb 3, 2026 #430,484 moudgulf said: Njema mkuu Poker habari za mchana. Click to expand... Nashkuru sana kaka moudgulf kwa kumrudisha Shunie nina furaha sana. Siku nikija Mwanza ntahakikisha full tank ya wese kwenye gari lako ni juu yangu.
moudgulf said: Njema mkuu Poker habari za mchana. Click to expand... Nashkuru sana kaka moudgulf kwa kumrudisha Shunie nina furaha sana. Siku nikija Mwanza ntahakikisha full tank ya wese kwenye gari lako ni juu yangu.
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 3,784 Reaction score 10,198 Feb 3, 2026 #430,485 Poker said: Kwani dosho12 sio anakaa Tanga Click to expand... sasa hivi npo mwanza
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 3,784 Reaction score 10,198 Feb 3, 2026 #430,486 Seran said: Anaweza kuwa kaenda kumuona baby wake mpya😆 Click to expand... 😂😂
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 6,530 Reaction score 19,051 Feb 3, 2026 #430,487 dosho12 said: sasa hivi npo mwanza Click to expand... Upo Mwanza mpaka lini dosho12
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 3,784 Reaction score 10,198 Feb 3, 2026 #430,488 Poker said: Upo Mwanza mpaka lini dosho12 Click to expand... Nitakuwa kwa muda mrefu.
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 6,530 Reaction score 19,051 Feb 3, 2026 #430,489 dosho12 said: Nitakuwa kwa muda mrefu. Click to expand... Nikija kaka lazima nikutafte
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 3,784 Reaction score 10,198 Feb 3, 2026 #430,490 Poker said: Nikija kaka lazima nikutafte Click to expand... Poa poa
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,202 Reaction score 770,348 Feb 3, 2026 #430,491 Poker said: Nashkuru sana kaka moudgulf kwa kumrudisha Shunie nina furaha sana. Siku nikija Mwanza ntahakikisha full tank ya wese kwenye gari lako ni juu yangu. Click to expand... Mi nipo Dar bro. Mwanza nilipita tu
Poker said: Nashkuru sana kaka moudgulf kwa kumrudisha Shunie nina furaha sana. Siku nikija Mwanza ntahakikisha full tank ya wese kwenye gari lako ni juu yangu. Click to expand... Mi nipo Dar bro. Mwanza nilipita tu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,681 Reaction score 131,718 Feb 3, 2026 #430,492 Poker said: Habari za jumanne wapambanaji wote Atoto Seran Makiwendo Lee moudgulf Obe makaveli10 min -me Click to expand... Hii tag sijui kwa nini sikuiona mkuu
Poker said: Habari za jumanne wapambanaji wote Atoto Seran Makiwendo Lee moudgulf Obe makaveli10 min -me Click to expand... Hii tag sijui kwa nini sikuiona mkuu
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Feb 3, 2026 #430,493 Poker said: Habari za jumanne wapambanaji wote Atoto Seran Makiwendo Lee moudgulf Obe makaveli10 min -me Click to expand... Mimi sipambani.
Poker said: Habari za jumanne wapambanaji wote Atoto Seran Makiwendo Lee moudgulf Obe makaveli10 min -me Click to expand... Mimi sipambani.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,681 Reaction score 131,718 Feb 3, 2026 #430,494 Atoto said: Mimi sipambani. Click to expand... Unapambana kuvuta pumzi shindii
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Feb 3, 2026 #430,495 min -me said: Unapambana kuvuta pumzi shindii Click to expand... Sipambani shindii. Inajivuta tu yenyewe.
min -me said: Unapambana kuvuta pumzi shindii Click to expand... Sipambani shindii. Inajivuta tu yenyewe.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Feb 3, 2026 #430,496 min -me said: Hii tag sijui kwa nini sikuiona mkuu Click to expand... Kuna muda notification ya tag haiji. Mtu anaweza dhani umemchunia.
min -me said: Hii tag sijui kwa nini sikuiona mkuu Click to expand... Kuna muda notification ya tag haiji. Mtu anaweza dhani umemchunia.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,681 Reaction score 131,718 Feb 3, 2026 #430,497 Atoto said: Kuna muda notification ya tag haiji. Mtu anaweza dhani umemchunia. Click to expand... Kweli kabisa nyingi tu najikuta naziona baada ya kuperuzi uzi wote
Atoto said: Kuna muda notification ya tag haiji. Mtu anaweza dhani umemchunia. Click to expand... Kweli kabisa nyingi tu najikuta naziona baada ya kuperuzi uzi wote
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Feb 3, 2026 #430,498 min -me said: Kweli kabisa nyingi tu najikuta national baada ya kuperuzi uzi wote Click to expand... Sasa bora wewe huwa unapitia🙆♂️🙆♂️🙆♂️
min -me said: Kweli kabisa nyingi tu najikuta national baada ya kuperuzi uzi wote Click to expand... Sasa bora wewe huwa unapitia🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 5, 2026 #430,499 Poker said: Jumapili ya kujipongeza, bia 2/3 na nusu kilo na ndizi choma. Click to expand... Hii comment asiione Seran. 🤣🤣
Poker said: Jumapili ya kujipongeza, bia 2/3 na nusu kilo na ndizi choma. Click to expand... Hii comment asiione Seran. 🤣🤣
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 5, 2026 #430,500 Seran said: Nusu kilo ya nini poker😋 Click to expand... He he