Makapuku Forum

Tunapoianza wiki ya nne, yes, Jan 2026 ina wiki tano na kwa sisi vibarua tunaopokea kwa wiki, kicheko wiki hili tukiwa tunaelekea bank.
Nilichotaka kusema sio kuhusu wiki tano bali kukwambia wewe mdau kwamba, wiki hii uzungukwe na watu utakaowaamini pale unapolala na pale unapowaaga kwenda kujitafuta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…