Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,279
Shwari bi dada, habari za kupoteaKazi iendeleeee! Habari yako Moud?
Hahahahaha ,ningekua niko karibu nae nisingehofu wala kuulizaNi vema tujue alipo, nadhani upo karibu sana na mpendwa wetu huyo.
Jitahidi afike hapa japo tumuone🤣
Sijapotea mbona!! Nipo sana tu.Shwari bi dada, habari za kupotea
Uwè na siku njemaSijapotea mbona!! Nipo sana tu.
Asante sana, na iwe hivyo kwako pia.Uwè na siku njema
Amin🙏🙏Asante sana, na iwe hivyo kwako pia.
Masalaam, niaje bibieSalaam 😍😍
My Rich AuntieKazi iendeleeee! Habari yako Moud?

Ndio nini etiiiiSi ndio![]()
Auntie uzi ulipotea🤣🤣🤣My Rich Auntie![]()
Nimepotelewa na mume.Ndio nini etiiii
Nakuelewa auntie kama kawaida yakoAuntie uzi ulipotea![]()

Mume yupi kwanza maana unao wengiNimepotelewa na mume.
Kweli auntie, nikiutafuta siuoni🤣🤣Nakuelewa auntie kama kawaida yako![]()
Acha kunichafua we mtoto. Mie nina mume mmoja tu makaveli10Mume yupi kwanza maana unao wengi
Mi mzima, Jabari za huko ulikoHatujambo habari yako moud