Makapuku Forum

Sasa kama mmeamua kupeana hela huko gizani kulikuwa na haja gani ya kuja kuturingishia hapa jukwaani! Nimeumia kwakweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Em niache mie nitoe baraka zangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Em niache mie nitoe baraka zangu
Mwenye kisu kikali ndio hula nyama sasa nimeamini, mi msela kapuku sina kitu basi naonekana sina levels. Nahisi kuchanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…