Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Nilikuita uje ushuhudie maajabu🤣Mimi apaa auntie![]()
Nilikuita uje ushuhudie maajabu
Kikuu anatafuta mchumba.


huyo siwezani naye tena acha nimalize uzee wangu vizuri na wazee wenzanguNilimfumania kwenye uzi fulani anatafuta mchumba 😂😂😂Nimeona anakutongoza auntiehuyo siwezani naye tena acha nimalize uzee wangu vizuri na wazee wenzangu
Ulifichwa wapi? Jambo tunalo.Hamjambo humu
Nilimfumania kwenye uzi fulani anatafuta mchumba
Nikakwambia nitamsemea, akasema kwake hupindui eti!!

namuonea huruma huyo mchumba anayetafutwa auntie nipo na wazee wenzangu unielewe ujue