Poa shemWakuu habari za jioni
Nitaleta picha za ndooMpira umekwishaaaaa
3-1
Hahahaa
Hahaha
Uyo jamaa kamjibu kijeuri kweli kweli
MmetuwezaMtasubiri sanaaaaa
Mmetuweza
sisi hatuchoki kuhama, tumehamia TP Mazembe
Hao Kunguru wa Kongo usiwawekee dhamana pia ....siku hizi hawako formsisi hatuchoki kuhama, tumehamia TP Mazembe
kukonda kwa tembo hakumfikii swala...wewe jidanganye tuHao Kunguru wa Kongo usiwawekee dhamana pia ....siku hizi hawako form
Shauri yako
.......
kukonda kwa tembo hakumfikii swala...wewe jidanganye tu
Utahamia Kila timu mwaka huuusisi hatuchoki kuhama, tumehamia TP Mazembe